Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MWANDISHI MKUU WA SHERIA

Uwazi na Uwajibikaji

Imewekwa: 22 August, 2024
Uwazi na Uwajibikaji

Tunahimiza uwazi, uaminifu na uwajibikaji kwa kila mtumishi katika kutekeleza majukumu ya Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria. Kila mtumishi anatakiwa kukamilisha majukumu kwa wakati, kufanikisha matarajio ya utendaji, kufanya kazi kwa kushirikiana na wengine na kuleta tija na ufanisi.