Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MWANDISHI MKUU WA SHERIA

Maswali Yaulizwayo Mara kwa Mara

Utekelezaji wa majukumu ya OMMS unaongozwa na Katiba ya Tanzania, Sheria ya Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Sura ya 268 na sheria na kanuni nyingine zinazohusika
Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria ina jukumu la kuandaa, kutafsiri, kurekebu na kuhakiki sheria ili kuhakikisha usahihi wa kisheria, uwiano na Katiba na sheria nyingine za Tanzania
Mwandishi Mkuu wa Sheria ni afisa wa Serikali anayeongoza majukumu ya uandishi, tafsiri na urekebu wa Sheria.