Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MWANDISHI MKUU WA SHERIA

1. Mwandishi Mkuu wa Sheria ni nani?

Mwandishi Mkuu wa Sheria ni afisa wa Serikali anayeongoza majukumu ya uandishi, tafsiri na urekebu wa Sheria.