Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MWANDISHI MKUU WA SHERIA

Sheria gani zinaongoza utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria (OMMS)

Utekelezaji wa majukumu ya OMMS unaongozwa na Katiba ya Tanzania, Sheria ya Utekelezaji wa Majukumu ya Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Sura ya 268 na sheria na kanuni nyingine zinazohusika