Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MWANDISHI MKUU WA SHERIA

UTENGENEZAJI WA SHERIA NDOGO KIFANI ZA MAMLAKA YA SERIKALI ZA MITAA

Timu ya waandishi wa sheria, chini ya uongozi wa Bw. Eustard Ngatale, Bw. Casmir Kyuki, aliyekuwa Mwandishi Mkuu wa Sheria za Bunge, na Bw. Nicodemus Chuwa, Mwandishi Mkuu wa Sheria Msaidizi, ilikutana kwa ajili ya kuandaa sheria ndogo zilizotungwa na mamlaka za serikali za mitaa.