Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

OFISI YA MWANDISHI MKUU WA SHERIA

Uzinduzi wa Toleo la Sheria zilizofanyiwa Urekebu za Mwaka 2023.

Uzinduzi wa Toleo la Sheria zilizofanyiwa Urekebu za Mwaka 2023, uliofanyika tarehe 23 Aprili 2025 na Mhe. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.